MANCHESTER UNITED YAMWAGA MKWANJA KUMNYAKUA BEKI WA KATI WA ATLETICO MADRID

Miranda

Miranda

Kikosi cha Mashetani wekundu, klabu ya manchester United imepiga hatua kubwa katika kutafuta suluhisho la safu yake ya ulinzi baada ya kukubali kutoa paunii milioni 24 ili kumnunua beki wa kati wa Atletico Madrid, Miranda.

Mlinzi huyo mwenye umri wa miaka 29 alicheza fainali ya ligi ya mabingwa huku timu yake ikifungwa katika dakika za nyongeza na Real Madrid mjini Lisbon Jumamosi.

Miranda alikuwa nguzo muhimu katika safu ya ulinzi ya kocha ‘Diego Simeone’ iliyotwaa ubingwa wa Hispania Primera La Liga na sasa yupo njiani kuelekea kwenye kikosi cha ‘Luis Van Gaa’l kule Old Trafford  baada ya kupewa ofa ya mkataba wa miaka minne.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s