PICHA ZA MAZISHI YA MAREHEMU ‘RACHEL HAULE’ MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM

Waigizaji wa Bongo Movie, Sandra na Chuchu Hans

Miili ya marehemu Recho na mwanae ikiwasili nyumbani kwa marehemu eneo la Palestina jijini Dar.

Majeneza mawili yalyokuwa na mwili wa Marehemu Rachel Haule na Mwanae mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Leaders kwa ajili ya kuagwa.

Wasanii wakiongoza msafara kuelekea eneo maalum la kuaga miili hiyo ndani ya Viwanja vya Leaders.

Vilio na Simanzi vyatawala

Wasanii nyota wa kiume wa Bongo Movie wakiwa wameubeba mwili wa Marehemu Rachel na mwanae.

Mwenyekiti wa Bongo Movie ‘Steve Nyerere’ akiweka shada la maua kwenye kaburi la Rachel na Mwanae.

Ndugu wa Marehemu wakiweka shada la maua

Mchumba wa Marehemu, John Saguda(Kushoto) akiweka udongo kaburini kwa mkewe na mwanae.

Johari akiweka Udongo

Mjomba wa marehemu, Evance Haule (kushoto) akiweka udongo katika kaburi la marehemu.

Mafundi wakisawazisha makazi ya milele ya Rachel.

Picha kwa hisani ya Global Publishers

 

Advertisements

6 thoughts on “PICHA ZA MAZISHI YA MAREHEMU ‘RACHEL HAULE’ MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s