MMILIKI WA KLABU YA MANCHESTER UNITED ‘MALCOM GLAZER’ AFARIKI DUNIA

Malcom Glazer1

Malcom Glazer

Mmiliki wa klabu ya Manchester United inayoshiriki ligi kuu ya England(EPL)  mmarekani ‘Malcom Glazer’  ameaga Dunia akiwa na umri wa miaka 85. Familia ya Tajiri huyo iliinunua United kwa gharama ya Euro Milioni 790 mnamo mwezi mei mwaka 2005,  licha ya pingamizi kali kutoka kwa mashabiki wa timu hiyo.

Hata hivyo chini ya umiliki wake utasababisha deni kubwa kwa  mashetani hao wekundi huku wakiwa wamenyakua mataji matano ya ligi kuu pamoja na  kombe la klabu bingwa barani Ulaya mwaka 2008.

Getting the Glazers in: Avram (right), Bryan (left) and Joel (second left) at Old Trafford just after the 2005 takeover

Watoto wa Marehemu Glazer, Avram (wa pili Kulia), Bryan (kushoto) , Joel  na baba yao wakizungumza jambo baada ya ununuzi wa timu hiyo mnamo  mwaka 2005 

 Watoto wa Mmarekani huyo, Bryan, Joel na Avram wapo katika bodi ya klabu hiyo huku Joel na Avram wakiwa wenyekiti wenza kwa sasa.

 ”Malcom Blazzer alikuwa ni mmiliki ambaye hakuwa anaitembelea manchester United, tulikuwa hatumjui kama mtu binafsi aliyekuwa amejikusanyia mamilioni ya paundi ambazo zimeisababishia madeni timu ya Manchester na unajua aliigharimu klabu mabilioni ya paundi mwishoni, yeye na familia yake ndio waliokuwa wakinufaika, aliondoa ushabiki wa asili na alikuwa hazungumzi na mashabiki” Alisema Ian Stirling ambaye ni msemaji kutoka chama cha mashabiki wa Manchester United

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s