RICK ROSS AONGEZA TATTOO MPYA USONI

Rick RossRapa na muanzilishi wa lebo ya MayBack Music Group ‘ Rick Ross’ ameidhihirishia Dunia kuwa  Utajiri wake hauna mwisho baada ya kuongeza Tattoo nyingine mpya usoni katika eneo la chini ya  lips iliyoandikwa  ‘Rich Forever’ ambalo ni jina la Mixtape yake aliyotoa mwaka 2012 ikiwa ni pamoja na kulitumia jina hilo kwenye akaunti yake rasmi ya Instagram.

“Just tattooed @richforever the man him self! “Rich Forever” under his lip. Single needle action #MMGthanks for the hospitality bro. Honored to tattoo your face.”  aliandika  ‘Nikko Hurtado’ ambaye ni mchoraji maarufu wa Tattoo  aliyewahi  kufanya kazi na baadhi ya mastaa kama vile Drake, The Game, Wale, Carlos Boozer pamoja na Jenna Jameson, akimshukuru Rozzay.

”I feel for you to be rich forever, you have to be rich with ideas, rich with concepts, rich with thoughts. To me, that’s what being rich forever is,”alisema Rick Ross kuhusiana na Tattoo yake mpya.Kwa wale Wapenzi na mashabiki wa Rozzay wategemee kumuona mkali wao akiwa na muonekano mpya

Rick RossTattoo mpya ya Rick Ross ‘Rich Forever’ Kama inavyoonekana katika picha

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s