P-FUNK ATEMBELEA KABURI LA MAREHEMU MANGWEA KATIKA KUMBUKUMBU YA MWAKA MMOJA YA KIFO CHAKE

Angwair

Marehemu Albert Mangwea

Muandaaji wa muziki na mmiliki wa studio za Bongo Records, ‘Paul Matthysse’ AKA P-Funk Majani ametembelea kaburi la swahiba wake,  marehemu Albert Mangwea mkoani Morogoro katika  kumbukumbu ya mwaka mmoja  tangu  kutokea kwa kifo chake nchini Afrika Kusini May 28, mwaka jana

Katika msafara huo, Majani ameongozana na mastaa wenzake akiwemo muigizaji nyota  wa Bongo Movie Wastara Sajuki,  Mzee John Kitime, Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba pamoja na ndugu wa karibu wa marehemu ambapo waliweza kuwasha mishumaa kaburini hapo na kufanya dua fupi kwa ajili ya kumuombea mpendwa wao. Tazama Picha hapo chini..

Kaburi la Ngwair P - Funk 1 P-Funk Akiwasha mshumaa kaburini kwa Ngwair

P-Funk akiwasha mshumaa kwwenye kaburi la Ngwair

P-Funk na Wastara

P-Funk, Wastara na John Kitime katika picha ya pamoja kaburi kwa Ngwair

 

P-Funk Ngwair Memorial Day

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s