INASIKITISHA : BINTI APIGWA MAWE NA BABA YAKE MPAKA KUFA NCHINI PAKISTAN, KISA?

MtikhaniPolisi nchini Pakistan wamemkamata na kumfungulia mashtaka mwanaume mmoja anayetuhumiwa kumpiga hadi kumuua binti yake nje ya mahakama kuu ya nchi hiyo .

Mtu huyo akiwa na kundi la watu 20, inasemekana walimpiga kwa mawe na vitu vingine vyenye ncha kali ‘Farzana Iqba’ l baada ya kuolewa na hatimaye kupatiwa ujauzito na mwanamme ambaye hakutakiwa na baba yake ingawa mwanaume huyo inasemekana alifanikiwa kutoroka.

Wanawake wamekuwa wakipigwa hadi kufa hadharani nchini Pakistan kwa kile kinachodaiwa kulinda heshima ya dini hasa wanapoolewa na watu wasiokubali katika jamii yao.

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s