PIGO : MSANII WA BONGO MOVIE ‘RACHEL HAULE’ AFARIKI DUNIA HOSPITALI YA MUHIMBILI

Rachel Haule

Rachel Haule

Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule ‘Recho’ amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam imethibitishwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere.

Taarifa zinasema Recho alikwenda Muhimbili jana kujifungua ambapo mara baada ya kujifungua mtoto alifariki na yeye hali yake kuwa mbaya, ilibidi ahamishiwe ICU ambako hali ilizidi kuwa mbaya na baadae kufariki dunia.

Kifo cha Recho kimekuja ndani ya wiki moja baada ya kufariki kwa msanii mwingine wa Bongo Movie Adam Kuambiana Jumamosi iliyopita, kifo hiki kimeleta mshtuko mkubwa kwenye tasnia ya ya filamu za kibongo. Blog ya Larrybway91 inawapa pole wafiwa wote.

-Taarifa.co.tz

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s