PICHA : KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN WAFUNGA PINGU ZA MAISHA

Kimye2Hatimaye C.E.O wa lebo ya Good Music, Rapa Kanye West ameachana rasmi na maisha ya ukapela baada ya kufunga pingu za maisha(ndoa) na mpenzi wake Kim Kardashian  Jumamosi iliyopita katika eneo la Forte Di Belvedere, Florence nchini Italia na kupata kuhudhuriwa na mastaa wachache licha ya maandalizi yake kugharimu mkwanja mrefu.

Wageni waalikwa wapatao  600 waliweza kuhudhuria sherehe hiyo   isipokuwa rafiki wa karibu wa wanandoa hao, Rapa Jay Z na mkewe Beyonce  kwa kisingizio cha kutotaka kuonekana kwenye kipindi cha familia ya Kardashian ‘Keeping Up With The Kardashians’.

Baadhi ya mastaa waliokuwepo  ni pamoja na  Lala Antony, Big Sean, John Legend, Andre Leon, Common, Scott Disick, Blac Chyna, Tyga, wadogo zake Kim akiwemo Khloe, Kourteney,  Kylie, Kendall, mtoto wa Will Smith  ‘Jaden Smith’ , David Blaine na Jonathan Cheban sambamba na burudani   iliyotolewa kutoka kwa John Legend na Tenor Andrea Bocelli..

Kanye & Kim Wedding Kim KKim Kardashian akiwa ametinga gauni refu jeupu la ‘Givenchy Haute Couture Gown’  lililobuniwa na rafiki yao wa karibu Riccardo Tisci

Kimye1Kimye wakionyeshana mahaba hadharani baada ya kula kiapo mbele ya watu waliohudhuria

KIMYE & PastorKanye West na Kim Wakila kiapo mbele ya mchungaji na wageni waalikwa

Kimye KImye Reception1

Tyga na mkewe Blac Chyna wakiwa katika picha ya pamoja na Kimye.

Kimye With fwndsFatakiFataki zilihusika pia

Kimye SelfieMambo ya Selfie hayakuwa nyuma

Magari ya MaharusiMagari yalioyowabeba maharusi

Common Common

Mmiliki wa Girls Gone Wild 'Joe Francis akiwa na mama kijacho wake Abbey WilsonMmiliki wa Girls Gone Wild ‘Joe Francis’ akiwa na mama kijacho wake Abbey Wilson

Kimye Guest

Kimye Triangle

Kimye ReceptionPichani ni eneo ilipofungwa ndoa ya Kimye  Rob KardashianMdogo wa kiume wa  Kim, Rob Kardashian akiwa  kwenye viunga vya uwanja wa ndege wa Los Angels LAX akitokea Ufaransa baada y akukacha sherehe ya dada yake   kwa kile kilichotajwa kuwa ni kutotaka watu kumwona kutokana na mapambano yake ya hivi karibuni ya kupunguza uzito .

 

 

 

 

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s