PAUL OKOYE ANUNUA MKOKO MPYA AINA YA JEEP WRANGLER

Paul Okoye

Baada ya kuachia Video yao mpya ya ‘Taste The Money’ inayofanya vizuri kwenye vituo mbalimbali vya Luninga, Memba anayeunda kundi la Psquare ‘Paul Okoye’ ameonyesha jeuri ya pesa baada ya kununua mkoko mpya aina ya ‘2014 Jeep Wrangler SUV’ na kuupachika  jina la utani ‘New Kid’ .

Hiyo inaonyesha wazi ni jinsi gani sanaa ya muziki inavyowatendea haki na kuwatajirisha mapacha hao kwani ni miezi mitatu kupita tangu Peter Okoye anunue gari la kifahari aina ya  Bentley GT toleo la mwaka 2014 lililomgharimu takribani Naira milioni 30 ambazo ni sawa na  milioni 300 za kitanzania.

”Ma new baby on da block. My wifey Anita is really gonna get jealous of my new baby tho. Even Onyinye Mike is getting over-jealous. Hehehe! ‪#‎Testimony‬ o_o”  aliandika Paul Okoye kwenye ukurasa wake wa Instagram….

Jeep WrenglerMkoko mpya wa Paul Okoye aina ya Jeep Wrengler

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s