FABOLOUS APONEA CHUPUCHUPU KATIKA AJALI MBAYA YA GARI

Fabolous LossoRapa mzaliwa wa   Brooklyn Marekani ‘John David Jackson(37)’ AKA Fabolous amenusurika katika ajali mbaya ya gari iliyotokea asubuhi ya leo baada ya gari alilokuwa amepanda aina ya ‘SUV Cadillac Escalade’ lililokuwa likiendeshwa na dereva wake aliyefahamika kwa jina moja la Ruben kugongana uso kwa uso na Lori kubwa la mizigo eneo la Queens, New York.

Good Morning …I just survived a car accident on the Van Wyck in Queens, NY. I wanna Thank God for not only letting me walk away with a few bumps & bruises but also for letting my driver Ruben & the two truck drivers involved walk away alive also. This was my 1st time being in a car accident. It’s a very shocking experience & may change my outlook on how fast things can happen & you’re put into a life threatening situation. Live, Love, & Celebrate Life. #Blessed.aliandika Fabolous kwenye ukurasa wake wa Instagram akielezea kuwa hiyo ni ajali yake ya kwanza kupata ya gari, hata hivyo   hakuna mtu aliyepoteza maisha kwenye ajali hiyo.   Fabolous AccidentUnaweza ukatazama picha hapo juu jinsi mzinga ulivyokuwa. Gari Jeusi ndilo alilokuwa amepanda Fabolous baada ya kupata ajali.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s