PICHA ZA MAZISHI YA MAREHEMU ADAM KUAMBIANA MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM

 

Mwili wa Marehemu Adam Kuambiana ukishushwa kutoka kwenye gari na Leo

Adam Kuambiana Leaders Corpes

 

 

Wasanii wa Filamu wakiwa wameubeba mwili wa Adam KuambianaBongo Movie Makaburini JB alishindwa kujizuia Mafundi wakiweka Zege kwenye kaburi la Kuambiana Makaburi ya Kinondoni

Mashada yakiwa tayari juu ya kaburi la Marehemu Adam Philipo Kuambiana,muda mfupi baada ya shughuli za mazishi kukamilika.

Jacob Steven ‘JB’,akiweka shada kwenye kaburi hilo.

Msanii wa fialmu Bongo,Mariam akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Kuambiana.

Mwili wa marehemu Kuambiana ukiwasili makuburini tayari kwa shughuli za kuusitili.

Jeneza lenye mwili wa marehemu Kuambiana likishushwa kaburini hapo.

Mwili huo uliyondani ya jeneza ukizamishwa shimoni tayari kwa kutoa heshima za mwisho.

Msanii wa filamu Richie Richie akiweka udongo kwenye kabuli la Marehemu Kuambiana.

Baadhi ya mafundi wakichanganya zege tayari kwa kumthitiri marehemu Kuambiana.

Mwafundi hao wakikamilisha shughuli za kujengea kabuli hilo.

Mchungaji akiweka msalaba kwenye kaburi hilo.

Mke wa marehemu Janeth Rithe,akiweka shada la maua kwenye kabuli la mmewe.Jack Wolper akipita kutoa heshima za mwisho.

Credits : Global Publishers

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s