PICHA ZA WASANII, WADAU NA MAMIA YA WATU WAKIUAGA MWILI WA ADAM KUAMBIANA VIWANJA VYA LEADERS KINONDONI

 

Mwili wa marehemu Adam Kuambiana utawekwa mahali hapa.

Waombolezaji watakaa mahali hapa.

Eneo hili ndipo mwili wa marehemu Adam Kuambiana utakapoagwa leo asubuhi kabla ya kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Mwili wa marehemu Adam Kuambina ukiwasili kwenye Viwanja vya Leaders tayari kwa kuagwa.

Wasanii wakiwa wameubeba mwili wa KuambianaBaadhi ya wasanii wa filamu wakiwa wameubeba mwili wa Adam Kuambiana

Adam Kuambiana Leaders Adam Kuambiana Viwanja vya Leaders Dotnata akiwa na majonziDotnata

Jeneza lenye mwili wa marehemu Adam Kuambiana likiwa mbele ya waombolezaji.

Shilole (kulia) akiwa na baadhi ya waombolezaji.

Wema Sepetu na Aunt Ezekiel walijumuika na waombolezaji.

Simanzi ilitawala wakati wa tukio hilo.

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara naye alikuwepo kumuaga Adam.

Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria shughuli ya kuaga mwili wa Kuambiana Leaders Club.

 

Dotnata na Bonge

Mwili wa Adama Kuambiana Leaders Club

Jeneza likiwa sehemu maalum kwa ajili ya kuagwa.

Mkurugenzi Mkuu wa Global Publishers LTD,Eric James Shigongo akitoa salamu za mwisho kwenye mwili wa marehemu Adamu Kuambiana.

Baadhi ya waombolezaji wakiaga mwili wa marehemu.

Msanii wa Filamu Flora Mvungi akiaga mwili wa marehe Kuambiana.

Mtangazaji wa Kipindi cha Jahazi kinachorusho na Clouds FM,Ephraim Kibonde akipita kuaga mwili wa marehemu Kuambiana.

JB,akiwa chini baada ya kuzidiwa na kudondoka wakati akitoa wasaa wa marehemu Adam Kuambiana.

Baadhi ya mabaunsa na wasanii wenzake wakimnyanyua JB,baada ya kuzidiwa na kudondoka chini.

Msanii wa filamu Jini Kabula akiaga mwili kwa machungu.

Msanii wa filamu Davina akibebwa baada ya kuzidiwa wakati wa kuuaga mwili wa marehemu Adam Kuambiana kwenye Viwanja vya Leaders Club Kinondoni jijini Dar es Salaam leo.

 

JB,akiwa chini baada ya kuzidiwa na kudondoka wakati akitoa wasaa wa marehemu Adam Kuambiana.

Baadhi ya mabaunsa na wasanii wenzake wakimnyanyua JB,baada ya kuzidiwa na kudondoka chini.

Picha kwa hisani ya Global Publishers

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s