JUX AACHIA KIONJO CHA VIDEO YAKE MPYA YA ‘NITASUBIRI’ ITAKAYOTOKA HIVI KARIBUNI

Juma JuxMsanii wa BongoFleva  anayesifika kwa Blingi Blingi na kutupia pamba kali ambaye kwa sasa yupo  barani Asia kimasomo, hapa namzungumzia  ‘Jux’   ametease Video Mpya ya wimbo  wake wa ‘Nitasubiri’  ambao upo kwenye hatua za mwisho za utengenezaji nchini China  chini ya muongozaji Zed benson, Itazame Hapo Chini

Advertisements

One thought on “JUX AACHIA KIONJO CHA VIDEO YAKE MPYA YA ‘NITASUBIRI’ ITAKAYOTOKA HIVI KARIBUNI

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s