CHRIS BROWN AANDIKA NYIMBO AKIWA JELA

Chris Brown & Debarge

Chris Brown na James Debarge 

Kwa mujibu wa tovuti ya TMZ imebaini kuwa mwanamuziki Chris Brown amekuwa akitumia muda wake mwingi akiwa jela kuandika mashairi ya nyimbo  akishirikiana na memba wa zamani wa kundi la Debarge aitwae ‘James Curtis Debarge’ aliyefungwa sehemu moja nae.

Taarifa kutoka katika jela ya L.A County zimeeleza kuwa mastaa hao tayari wameshaandika nyimbo zipatazo tatu.

Debarge anatumikia kifungo chake baada ya kupatikana kesi dhidi ya madawa ya kulevya wakati Brown akijikuta akiongezewa muda wa siku 131 za kukaa jela kufuatia mashtaka yanayomkabili  kwa sasa.

Wadau na mashabiki wa Chris wamesema   kwamba kama taarifa hizo zitakuwa ni za kweli  basi ni wazi kuwa nyota wao huyo hatakuwa amepoteza  muda wake bure  wa kukaa ndani.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s