KICHUPA KIPYA : KID INK FEAT. CHRIS BROWN & TYGA – MAIN CHICK REMIX [Official Video]

Kid Ink - Main Chick

Mkali anayetamba na ngoma ya Show Me  ‘ Brian Todd Collins’ AKA Kid Ink ameachia video mpya ya  wimbo wake ‘Main Chick Remix’  akiwa amemshirikisha Chris Brown pamoja na mwanafamilia toka Crew ya Young Money Tyga.

Katika video hii Brown hakuweza kushiriki kutokana na kukabiliwa na adhabu ya kifungo jela na kufanya iwe ni video ya pili kuachiliwa tangu  asekwe jela ukitoa ile ya kwake ya Loyal .. Itupie jicho hapo chini

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s