ARSENAL YATWAA KOMBE LA FA, WAILAZA BAO 3 -2 HULL CITY

Arsenal FA

Washika mtutu wa jiji la London, klabu ya Arsenal hapo jana iliweza kunyakua kombe la FA baada ya kuilowesha Hull City kwa kipigo cha bao 3 kwa 1 katika mtanange uliochezwa kwenye dimba la Emirates.

 Mchezaji wa Arsenal Ramsey aliweza kuiwezesha timu yake kuchukua ubingwa huo baada ya kufunga bao l dakika za nyonngeza na kufanya matokea kumalizika kwa 3 – 2 dhidi ya Hull City.

Wenger

Magoli ya Hull yakiwekwa kimyani kupitia James Chester na Curtis Davies kabla ya kusawazishwa na Santi Carzola pamoja na Laurent Koscienly huku goli la tatu na la ushindi likifungwa na Aaron Ramsey .

 Inakumbukwa kuwa mara ya mwisho Arsenal ilitwaa taji la FA mwaka 2005 kabla ya jana usiku kuandika historia nyingine ya kutwaa kombe hilo kwa mara ya tano.

Wenge Arsenal

 “Siku zote nimekuwa nikisisitiza, kombe haliwezi kuwa kipimo kwangu kama naondoka au nabaki. “Lakini nimekuwa nasisitiza kuwa nataka kubaki Arsenal, hili si jambo geni hata kidogo. Alisema Wenger

Kama hukupata nafasi ya kutazama mchezo kati ya Arsenal na Hull City, itazame video hapo chini ya magoli .

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s