MUIGIZAJI WA FILAMU ‘ADAM KUAMBIANA’ AFARIKI DUNIA

Adam Kuambiana

Tasnia ya filamu Tanzania imepatwa na pigo la kuondokewa na aliyekuwa muigizaji – muongozaji  ‘adam Kuambiana aliyefariki Dunia alfajiri ya kuamkia  leo wakati akipelekwa kwenye hospitali ya Mama Ngoma iliyopo eneo la Mwenge jijini Dar es salaam kwa ajili ya matibabu.

Kuambiana alikumbwa na umauti baada ya kuanguka chooni wakati akiwa location katika hoteli ya Silver rado iliyopo Sinza kwa Remy huku marafiki waliokuwa nae pamoja wakidai kuwa tangu jana usiku marehemu hakuonyesha dalili zozote za kuwa na tatizo.

Filamu zilizowahi kumpatia umaarufu ni pamoja na Fake Pastors aliyoigiza  na Vicent Kigosi, Regina, Faith More na Lost Twins. Blog ya Larrybway91 inawapa pole wafiwa wote waliofikwa na msiba huu.

MUNGU AI LAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI AMEEN

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s