HUYU NDIYE MCHUMBA WA HASHEEM THABEET ALIYEMZALIA MTOTO WA KIUME ‘PRINCE THABEET’

Mchumba wa hasheem 'Bee Anderson' akiwa na mtoto wake Prince Hasheem

Mchumba wa hasheem ‘Bee Anderson’  akiwa na mtoto wake Prince Hasheem

Mcheza Kikapu wa Timu ya Oaklahoma City Thunder ya Marekani, mtanzania  ‘Hasheem Thabeet’   kwa sasa ni baba wa mtoto mmoja wa kiume aitwae ‘Prince Hasheem’ mwenye umri wa mwezi mmoja na nusu aliyezaa na Bee Anderson AKA Love Queen Bee ambaye ni mtaalam wa masuala ya urembo na pia mchambuzi wa NBA katika kituo cha utangazaji cha Fox Sports Radio 920AM. 

Kama wahenga wasemavyo hakuna siri chini ya jua, Hatimaye mchumba wa mcheza kikapu huyo anayeshikilia rekodi ya kuwa mchezaji mrefu kushinda wote kwenye ligi ya NBA, aliweza kutupia picha kwenye ukurasa wake wa Instagram siku ya wamama Dunia  akiwa amembeba kidume chake na kuambatanisha na ujumbe kama unavyoonekana hapo chini

”Happy Mother’s Day to ME 👑💜 What a special day to celebrate. Six weeks ago, I gave birth to a beautiful, perfectly healthy baby boy. Such a blessing to be a mommy ☺️ How blessed am I? From the first kick in the womb to his first smile, I’ve been infatuated. Prince Thabeet, Mommy and Daddy love you sooo much! You have changed our lives and brought us so much joy. @hasheemthedreamHappy Mother’s Day everyone!”

Mchumba wa Hasheem Thabit

Nani kama Mama

Hasheem Thabit na Bee Anderson mtangazaji wa Fox Sports Radio

Hasheem Thabeet akiwa na kifaa chake Mrembo Bee Anderson. Pendeza sana

Credits : Bongo5

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s