JAY Z NA SOLANGE WAWEKA KANDO TOFAUTI ZAO

Beyonce, Jay Z & SolangeSiku zote vikombe vikikaa pamoja haviishi  kugongana,  hiyo ni kutokana na ugomvi uliotokea kati  ya  Rapa  Jay Z aliyechezea  na  shemeji yake ‘Solange usiku wa May 05 kwenye hoteli ya Standard ‘ wakati wa hafla ya  MET Gala.

Kwa mujibu wa familia ya Knowles na ile ya Jay Z, hatimaye  wawili hao wameweza kupatanishwa  na kumaliza tofauti zao pamoja nakijutia kitendo walichofanya baada ya video ya tukio hilo kuvujishwa hali iliyopelekea kuvuta hisia za vyombo vingi vya habari.

‘”At the end of the day families have problems and we’re no different. We love each other and above all we are family. We’ve put this behind us and hope everyone else will do the same.” ilikuwa ni moja ya tamko lililotolewa na familia za mastaa hao

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s