VIDEO : MDOGO WA BEYONCE NUSURA AMTOE ROHO SHEMEJI YAKE JAY Z

Jay na Solange

Jay Z na Solange

Hii huenda ikawa ni kali kuliko zote baada ya  video kuvuja iliyokuwa ikimuonyesha  mdogo wa kike wa mwanamuziki Beyonce anayefahamika  kwa jina la Solange akionekana kumrushia mateke na ngumi shemeji yake Jay Z huku Beyonce akiwa pembeni akiwatazama.

Tukio hilo lilirekodiwa  na kamera zilizokuwa zimefungwa kwenye lifti usiku wa May 05 kwenye after party ya Met Gala. Hata hivyo walinzi waliweza kuingilia kati ugomvi huo na kuweza kuwatenganisha, ingawa mpaka sasa  bado haijaweza kufahamika chanzo cha ugomvi baina ya mastaa hao. Itazame hapo chini  video fupi ya tukio hilo

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s