WAHAMIAJI 36 WAFA MAJI NA WENGINE 52 WAOKOLEWA KATIKA PWANI YA LIBYA

Wahamiaji 36 Libya

Wahamiaji walionusurika wakishuka katika boti ya uokoaji

Wahamiaji 36 wamekufa maji na wengine 52 wameokolewa baada ya boti yao kuzama katika pwani ya Libya ambayo inasemekana kuwa njia kuu ya wahamiaji wengi wanaojaribu kwenda Ulaya.

Mbali na wahamiaji waliokufa na kuokolewa, kuna wengine 54 ambao bado hawajaonekana baada ya wahamiaji walionusurika kusema kuwa boti ilikuwa na zaidi ya watu 130.

Mwishoni mwa wiki waziri wa Libya wa mambo ya ndani aliomba umoja wa Ulaya kufanya juhudi zaidi za kusaidia kupunguza wimbi la wahamiaji wanaopjaribu kwenda Ulaya kutafuta Maisha.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s