MTOTO WA DIDDY ATINGA KWENYE MAHAFALI NA NDINGA YA BEI MBAYA

Diddy & KingCombsWahenga wanasema kitanda hakizai haramu na mtoto wa nyoka ni nyoka.. Rapa  milionea na mmiliki wa kinywaji cha Ciroc Vodka ‘Sean Combs’ AKA P.Diddy ameonyesha jeuri ya pesa baada ya kumpatia mwanae wa kiume Christian Combs(16)   mkoko wa bei chafu aina ya Maybach,  kuuzia nao sura kwenye mahafali ya kuhitimu masomo yake.

”My son who is a sophomore going to his first senior prom. Man life is moving faster than a m*thaf**ker! Have fun tonight @Kingcombs and don’t do anything I would do! Lol Love you King!! #CombsFamily #KingCombs” aliandika Diddy kwenye ukurasa wake wa Instagram na kisha kuposti  picha ya kijana akiwa amepozi kwenye 1.2 milioni dollar Car

christian CombsChristian Combs akiwa ametokelezea kwenye Maybach ya mshua wake

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s