LUPITA NYONG’O APIGA CHATA IKULU YA MAREKANI, AKUTANA USO KWA USO NA RAIS OBAMA NA MKEWE

Lupita at state ouse

Pichani wa kwanza kulia ni mama mzazi wa Lupita Nyong’o, Rais wa marekani Barack Obama, Lupita Nyong’o na Michelle Obama.

Mshindi wa  Tuzo ya Oscar,  mwigizaji mwenye asili ya Kenya ‘Lupita Nyong’o’  ameweza kupata nafasi ya kupiga stori mbili tatu kwa lugha ya kiswahili na Rais wa Marekani ‘Barack Obama’ baada ya kupata mualiko rasmi wa chakula cha jioni kutoka katika  ikulu ya Marekani maarufu kama  White House.

Lupita akiwa ameongozana na mama yake mpendwa, waliweza kukutana na Mr.prezidenti pamoja na mkewe Bi.Michelle Obama  huku wawili hao wenye asili ya Kenya wakiripotiwa kuzungumza Lugha ya Kiswahili katika maongezi yao hayo.

Kwa hivi sasa Lupita ni balozi wa vipodozi vya Lancome huku akitajwa kuwa miongoni mwa mastaa daraja la kwanza Dunia akiwa na utajiri unaokadiriwa kufikia dola za kimarekani milioni 43 ukichangiwa zaidi na mauzo ya filamu aliyochezwa ya 12 years a slave.

Lupita, Obama, Michelle & MomHapa ni pale utani ulipochukua wakati wake

Lupita & Beyonce

Katika Tukio lingine, Lupita aliweza pia kula bata sambamba na Malkia wa muziki ‘Beyonce Knowles’  kwenye after party ya Met Gala

Lupita Nyong'o parties with BeyonceAll our dreams can come true, if we have the courage to pursue them.”

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s