MFAHAMU KOCHA WA KWANZA WA KIKE ‘HELENA COSTA’ ALIYEPATA NAFASI YA KUINOA TIMU YA WANAUME

Helena Costa, pictured in 2013 during her spell as head coach of Iran's women's national team

Helena Costa

Klabu ya Daraja la pili nchini Ufaransa ya Clermont Foot imemuajiri mwanamama Helena Costa mwenye umri wa miaka 39 kuwa kocha wao mpya. Helena atakuwa kocha wa kwanza wa kike kuongoza moja ya timu ya daraja la juu katika ligi za Ulaya.

Mwanamama huyo kwa sasa ni kocha wa timu ya Taifa ya wanawake Iran mwaka 2012 ambaye kabla aliwahi kufundisha timu za wanawake za Qatar na Benfica, pia amewahi kufanya kazi na mabingwa wa scotland klabu ya Celtic.

Taarifa ya Clermont inasema Helena Costa mzaliwa wa Ureno ataifundisha Clermont Foot msimu ujao kwa ajili ya kuisaidia klabu hiyo  kuingia katika zama mpya.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s