MTOTO WA PETER WA PSQUARE AWAPA UJUMBE MZITO WANAMGAMBO WA BOKO HARAM

Peter OkoyeWakati nchi ya Nigeria ikiwa kwenye hali ya simanzi kufuatia kupotelewa kwa wanafunzi  234 wa shule ya kike ya bweni  iliyopo eneo la Chibok katika mji mkuu wa nchi hiyo Abuja. Familia ya  mwanamuziki ‘Peter Okoye’ anayeunda kundi la Psquare iliweza kumtumia mtoto wao wa kiume ‘Cameroon Peter Okoye’ kuweza kufikisha ujumbe kwa watu wanaowashikilia wanafunzi hao.

”My name is Cameroon Okoye, Please bring back our girls, please!” alisema mtoto huyo kwenye video fupi iliyorekodiwa kwenye simu ya mama yake mzazi ambaye ni mke halali wa Peter aitwae Lola Omotayo na kisha kushea na mashabiki kwenye ukurasa wake wa instagram

Hadi sasa ni takribani wiki mbili zimepita tangu kutekwa kwa watoto hao kupatikana licha ya jitihada zinazoendelea kufanywa na serikali ya Nigeria ikishirikiana na jeshi lake.

Tukio hilo ambalo limegusa hisia za watu wengi hasa wazazi na wanaharakati wa haki za binadamu hali iliyopelekea kuanzishwa kwa kampeni maalum  iliyopewa jina la Bring Back Our Girl.

 

 Itazame Video ya mtoto wa Peter Okoye akiongea vitu vizito kushinda umri aliokuwa nao

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s