KICHUPA KIPYA : RICK ROSS FT LIL WAYNE – THUG CRY [Officia Music Video]

Rozzay Feat Lil Wayne - Thug CryMuanzilishi na mmiliki wa lebo ya  Maybach Music Group, Rapa Rick Ross ameachia video mpya ya wimbo wake unaoitwa ‘Thug Cry’ akiwa amemshirikisha  Rapa toka familia ya  Young Money ‘Lil Wayne’ pamoja muigizaji maarufu wa kiume Wood Harris ambaye anafahamika zaidi kwa jina la Avon Barksdale.

Wimbo huo unapatika katika albamu mpya ya Rozzay inayokwenda kwa jina la ”MasterMind” ambayo inafanya vizuri sokoni kwa sasa. Itupie jicho hapo chini .

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s