WATU WA TATU WAFARIKI DUNIA NA WENGINE 60 KUJERUHIWA KATIKA MLIPUKO WA BOMU ULIOTOKEA NCHINI KENYA

Basi Thicka RoadPichani ni mojawapo la basi lililokumbwa na bomu la kutupa kwa mkono lililopelekea kupoteza maisha ya watu watatu huku wengine 60 kujeruhiwa.

Mfululizo wa matukio ya kinyama bado umeendelea kutokea nchini Kenya, kufuatia watu wa tatu kufariki Dunia na wengine 60  kujeruhiwa baada ya watu wanaodhaniwa kuwa ni wanamgambo wa Al Shabab   kurusha bomu kwenye mabasi ya abiria katika  barabara ya Thicka mjini Mombasa ambayo husifika kwa kuwa na msongamano mkubwa wa watu wengi iliyoko kaskazini mwa mji mkuu wa Nairobi.

Wakati wa mlipuko huo mabasi yalikuwa yamesongamana na mashambulio hayo ya jana ni ya pili kutokea baada ya yale ya usiku wa kuamkia jana mjini Mombasa ambako watu watatu pia waliuwawa na wengi kujeruhiwa katika maeneo mawili tofauti.

Hata hivyo siku za hivi karibuni kumekuwa na mfululizo wa mashambulio ya mara kwa mara nchini Kenya tangu ipeleke majeshi Somalia mwaka 2012 kuwasaka wapiganaji wa kikundi cha Al Shabab waliokuwa wanavuka mpaka na kuingia Kenya kwa ajili ya kushambulia wageni na wakati mwingine kuwateka na kwenda nao Somalia.

Bomb experts and plain clothes policemen gather at the scene of a bus explosion along the Thika super-highway in Kenya's capital NairobiBasi lingine ambalo lilikumbwa na mlipuko hilo.

Residents assist an injured passenger from the scene of a bus explosion along the Thika super-highway in Kenya's capital NairobiWasamari wema wakiwa wamembeba mmoja wa abiria aliyenusurika na mlipuko wa bomu.

Policemen secure the scene of a bus explosion along the Thika super-highway in Kenya's capital NairobiPichani ni eneo la tukio la urushwaji wa bomu lilipotokea katika barabara kuu ya Thicka iliyopo kaskazini mashariki mwa mji wa nairobi nchini Kenya.

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s