SHY ROSE BHANJI ASHEREKEA SIKU YAKE YA KULETWA DUNIANI, BULAYA NA MDEE WAMLISHA KEKI

 Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy Rose Bhanji katikati akipokea keki kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki zake wakati wa tafrija maalum ya kumpongeza baada ya kutimiza miaka yake kadhaa katika ulimwengu huu Mei 3, 2014. Tafrija hiyo ilifanyika nyumbani kwake Bweni Dar es Salaam. (Photos by: MD Digital Company +255 755 373999).
 Birthday Girl! Shy-Rose akikata akijiandaa kukata keki…
Shy Rose Bhanji
 Marafiki zake wa karibu ambao pia ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ester Bulaya (kushoto) na Halima Mdee wakimlisha keki kwa pamoja Shy-Rose.
 Shy-Rose nae aliwalisha marafiki zake ambao ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ester Bulaya (kushoto) na Halima Mdee
 Shy-Rose pia alilishwa keki na ndugu zake.
 Alipokea zawadi kutoka kwa ndugu
  
Keki zilendelea 
 Shy-Rose akila pozi na keki aliyozawadiwa na mmoja wa marafiki zake.
 Shy-Rose Bhanji a.ak.a Mbunge wa Afrika Mashariki akila pozi na marafiki zake Halima Mdee a.k.a Mbunge wa Mujini na Ester Bulaya a.k.a Mbunge wa Kijijini …..ndivyo utani wao ulivyokuwa wakitaniana.
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

SALEH JEMBE

HOT NEWS, ENTARTAINMENT, SPORTS, GOSSIPING , FASHIONS & TECHNOLOGY

Father Kidevu

HOT NEWS, ENTARTAINMENT, SPORTS, GOSSIPING , FASHIONS & TECHNOLOGY

Bamiza | News Blog

HOT NEWS, ENTARTAINMENT, SPORTS, GOSSIPING , FASHIONS & TECHNOLOGY

Maishakiasi

HOT NEWS, ENTARTAINMENT, SPORTS, GOSSIPING , FASHIONS & TECHNOLOGY

DEWJIBLOG

HOT NEWS, ENTARTAINMENT, SPORTS, GOSSIPING , FASHIONS & TECHNOLOGY

JESTINA GEORGE

HOT NEWS, ENTARTAINMENT, SPORTS, GOSSIPING , FASHIONS & TECHNOLOGY

HOT NEWS, ENTARTAINMENT, SPORTS, GOSSIPING , FASHIONS & TECHNOLOGY

ShaffihDauda

HOT NEWS, ENTARTAINMENT, SPORTS, GOSSIPING , FASHIONS & TECHNOLOGY

millardayo.com

millard ayo

HOT NEWS, ENTARTAINMENT, SPORTS, GOSSIPING , FASHIONS & TECHNOLOGY

DJCHOKAblog: Tanzania's Entertainment Blog

HOT NEWS, ENTARTAINMENT, SPORTS, GOSSIPING , FASHIONS & TECHNOLOGY

JamiiForums | The Home of Great Thinkers

HOT NEWS, ENTARTAINMENT, SPORTS, GOSSIPING , FASHIONS & TECHNOLOGY

MICHUZI BLOG

HOT NEWS, ENTARTAINMENT, SPORTS, GOSSIPING , FASHIONS & TECHNOLOGY