LUIS SUAREZ ANYAKUA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA CHAMA CHA WAANDISHI HABARI ‘FWA”

Lusi SuarezMshambuliaji wa Liverpool Luis Suarez ametangazwa kuwa mchezaji bora wa chama cha waandishi habari za michezo nchini Uingereza Football Writters Association kwa kifupi  ‘FWA” ikiwa ni baada ya kupigiwa kura na zaidi ya wanahabari 300.

Suareza ambaye amaefunga magoli 30 kwenye ligi kuu ya England, ameshinda asilimia 52 ya kura zote zilizopigwa akimuacha Steven Gerald katika nafasi ya pili na vilevile Yaya Toure katika nafasi ya Tatu.

Mwenyekiti wa FWA alisema ”watu waliopata nafasi ya kucheza pamoja na Luis Suarez bila shaka watakuwa mashahidi kwa uwezo wake mkubwa aliokuwa akiuonyesha dimbani”

Straika huyo wa timu ya Taifa ya  Uruguay, wiki iliyopita alitajwa kama mchezaji bora wa ligi ya Uingereza na kuweza kuchukua Tuzo ya PFA na kupata nafasi ya  kuwashukuru wanahabari na wapenzi wa mchezo wa soka Duniani waliomuwezesha kupata Tuzo hiyo ya pili na ya heshima.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s