PICHA ZA UTOAJI WA TUZO ZA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2014 NA MAJINA YA WASHINDI

 Msanii mkongwe wa muziki Rehema Chalamila Ray C akimkabidhi Tuzo Nikki wa pili wa kundi la Weusi

Gnako, Nikki wa pili na Joh Makini wanaounda kundi la Weusi wakisema jambo baada ya kukabidhiwa Tuzo ya Kundi bora la Hip-Hop

Fid Q akiwa na Tuzo ya Msanii bora wa Hip Hop, usiku wa jana aliweza kutwaa Tuzo mbili ya Msanii bora wa Hip Hop na Mtunzi bora wa mwaka wa Hip Hop

Mwimbaji Bora wa Kike Taarab na Mtumbuizaji Bora wa Kike wa Muziki, Isha Ramadhan ‘Mashauzi’ akiwa na mojawapo ya tuzo zake.

Msanii wa filamu JB akimkabidhi Young Killer Tuzo ya Msanii bora chipukizi

 

Young Killer akitoa shukrani kwa mashabiki.


Mtayarishaji wa nyimbo Man Walter akiwashukuru mashabiki waliomwezesha kupata Tuzo ya Mwandaaji bora wa muziki wa kizazi kipya

Mwanadada Vanessa Mdee akiwa na tuzo yake ya Wimbo Bora wa RnB aliyokabidhiwa na Elizabeth Michael ‘Lulu’.

Mwimbaji Bora wa Kike Bendi, Luiza Mbutu (katikati) akiwa na tuzo yake aliyokabidhiwa na wasanii kutoka Kenya, Amani na Kelvin Wyre.

Mtunzi Bora wa Mwaka Bendi, Christian Bella akipokea tuzo yake kutoka kwa Issa Michuzi.

 Mashujaa wakipozi na mojawapo ya tuzo zao. Hall Of Fame Hassan Bitchuka KTMA2014 Nay Wa Mitego KTMA2014 Tuzo za KTMA  Weusi Young Killer

Orodha ya Majina  ya Washindi wa Tuzo za KTMA 2014

Wimbo Bora wa mwaka

*Number One – Diamond

Wimbo bora wa Kiswahili – Band

*Ushamba Mzigo – Mashujaa

Wimbo Afro Pop

*Number One – Diamond

Wimbo bora wa Hip Hop

*Siri ya Mchezo – Fid Q

Wimbo bora wa R&B

*Closer – Vanessa Mdee

Wimbo bora wa kushirikisha/kushirikiana

*Muziki Gani – Nay wa Mitego f/ Diamond

Wimbo bora wa Zouk Rhumba

*Yahaya – Lady Jaydee

Mwimbaji Bora wa Kike – Kizazi Kipya

*Lady Jaydee

Mwimbaji Bora wa Kiume Kizazi Kipya

*Diamond Platnumz

Msanii Bora Hip Hop

*Fid Q

Msanii Bora Chipukizi

*Young Killer

Mtayarishaji Bora – Kizazi Kipya
 
*Man Water

Mtunzi Bora wa Mwaka – Kizazi Kipya
 
*Diamond Platnumz

Mtunzi Bora Hip Hop

*Fid Q

Mtumbuizaji Bora wa Kiume Kizazi Kipya

*Diamond

Video Bora ya Mwaka

*Number One – Diamond

Mtunzi Bora wa Mwaka Band

*Christian Bella

Bendi ya Mwaka

*Mashujaa Band

Kikundi Cha Mwaka – Kizazi Kipya

*Weusi

Kikundi bora cha mwaka – Taarab

*Jahazi Modern Taarab

Mwimbaji Bora wa Kike – Taaarab

*Isha Ramadhani

Mwimbaji Bora Kiume – Taarab

*Mzee Yusuf

Mwimbaji Bora Kiume – Bendi

*Jose Mara

Mtunzi Bora Taarab

*Mzee Yusuf

Rapper bora wa mwaka – Bendi

*Ferguson

Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka – Taarab

*Enrico

Mwimbaji Bora wa Kike – Bendi

*Luiza Mbutu

Wimbo bora wa reggae

*Niwe Nawe – Dabo

Wimbo bora wa Ragga/Dancehall

*Nishai – Chibwa f/ Nuru

Wimbo bora wa Afrika Mashariki

*Tubonge – Jose Chameleone

Hall of fame – Institution

*Masoud Masoud

Hall of Fame – Individual

*Hassan ‘Stereo’ Bitchuka

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s