PICHA : DIAMOND ANG’ARA TUZO ZA KTMA 2014, ANYAKUA TUZO SABA

Diamond na Wema KTMA2014Pichani ni Diamond akikabidhiwa Tuzo ya wimbo bora wa mwaka na mpenzi wake Wema Sepetu.

Diamond na Wema KTMA2014_)1

Diamond_PlatnumzDiamond akiwashukuru mashabiki walioweza kumpigia kura

Ray na DiamondDiamond akikabidhiwa Tuzo  kutoka kwa muigizaji nguli wa Bongo Movie ‘Vicent Ray Kigosi’

Diamond na Nay wa mitegoDiamond na Nay wa Mitego katika pozi baada ya kupewa Tuzo ya wimbo bora wa kushirikiana

Diamond akipokea Tuzo toka kwa Kadinda

Mbunifu wa mavazi nchini Martin Kadinda akimkabidhi Tuzo Diamond

Diamond na Shabiki

Shabiki alichemsha kuzuia hisia zake na kwenda kumpongeza Diamond

Diamond na Tudy

Producer Tudy Thomas akimkabidhi Diamond Tuzo.

Diamond na George KavisheDiamond akikabidhiwa Tuzo na meneja wa bia ya Kilimanjaro Bw. George Kavishe, kushoto ni poducer Shedy Clever

Diamond_PltnumzWema Sepetu na Diamond wakishuhudia utoaji wa Tuzo za KTMA 2014 ndani ya ukumbi wa Mlimani City Hall.

Mwanamuziki wa Bongo Fleva Naseeb Abdul AKA Diamond Platnumz ameweka historia baada ya kuondoka na Tuzo saba usiku wa jana katika sherehe za utoaji wa Tuzo za Kilimanjaro Music Awards 2014 zilizofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam na kuvunja rekodi iliyowekwa na 20 Percent aliyechukua Tuzo tano mwaka 2012.

Akiwa ameongozana na mkewe mtarajiwa Wema Sepetu, Diamond aliweza kupata Tuzo ya wimbo bora wa mwaka kupitia ngoma yake ya Number One, nyingine ilikuwa ni ya mwimbaji bora wa kiume wa muziki wa kizazi kipya, mtunzi bora wa mwaka kwa upande wa kizazi kipya, Mtunzi bora wa kiume – kizazi kipya pamoja na video bora ya mwaka ya Number One aliyopifanyia Afrika Kusini.

Picha kwa hisani ya Global Publishers

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s