PICHA ZA DIAMOND NA WEMA WAKILA UJANA MKOANI MTWARA

      Wasafi Classic babyDiamond, wema, Martin Kadinda na Rommy Jones katika picha ya pamoja baada ya kuwasili katika kiwanja cha ndege Mtwara

Mwanamuziki na Balozi wa kinywaji cha CocaCola nchini Tanzania, Diamond Platnumz ametua mkoani  Mtwara  kwa ajili ya kuangusha show kabambe iliyopewa jina la Heels & Ties kwa wakazi wa Mtwara na vitongoji vyake, inayotarajia kufanyika kwenye ukumbi wa makonde beach usiku wa leo kwa ufadhili wa mtandao wa Vodacom Tanzania.

Katika msafara wake huo ameongozana na nyonga mkalia ini wake aliyewahi kutwaa Taji la urembo wa Tanzania mwaka 2006 Wema Sepetu, binamu yake Romy Jons, dancers pamoja na mlinzi wake sambamba na kufanyiwa mahojiano na kituo cha redio cha Safari Fm.

Nisingependa nikuchoshe sana, ebu fanya kama vile unatazama picha hapo chini za mastaa  hao daraja la kwanza kwa hapa Bongo wakila ujana kwenye hoteli ya kifahari ya ‘Naf Beach Hotel’ ambayo kwasasa ndio inatajwa kuwa hotel Bora zaidi Mtwara.  At Mwalimu Nyerere Airport with my manager,Babu tale

Diamond na Wema MtwaraDiamond, Wema in  MtwaraBaada ya pipa kutua nanga Mtwara likitokea Dar es salaam

Rommy & WemaRommy Jones na Wema Sepetu

Diamond, wema & KadindaDiamond Platnumz, Wema na Martin kadinda

Wema na Diamond Safari RadioDiamond, wema na Crew yao walipowasili studio za Safari fm.

Mwakilishi wa VodaWasafi NtwaraDiamond na Wema wakifanyiwa mahojiano na watangazaji wa Radio Safari

wema na Diamond Wakisoma meseji zilizotumwa na mashabiki

Naf HotelPichani ni hoteli aliyofikia Diamond na watu wake

Diamond & Wema_SepetuWacha Muvi iendeleeee

 

Advertisements

140 thoughts on “PICHA ZA DIAMOND NA WEMA WAKILA UJANA MKOANI MTWARA

  1. Daaah...love you guyz xoooo much...ila 2 mcje achana u luk xo cute together...alwayz am ur no one fun..all de bxt... says:

    Love you guyz xoooo much..u real luk xo cute together..plz diamond take care of moi ccy..en alxo u ccy wema b care o shem real crazy bot you am ur no one fun…love yooo xooo much…

  2. yn mmpendezj mnapendz kuw mke na mume na cy mnaleta mapenz y kitoto unajua ukiendekez xn ujana itakukxt chamsing bro fany uchukue jiko kaka nawapend dai&wem

  3. DADA WEMA WEWE NIMZULI SANA NAMLIENDANA SANA NABLADHA DAIMONDI ILASIUNAJUA KILAKITU KINAENDA NALIDHIKI KAMA LIDHIKIYAKO IMEISHIA HAPO NABLADHA DAIMONDI FANYAKO NAMAISHA YAENDELE LOVE YOU SISTEL WEMA? PAMOJA?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s