CHRIS BROWN KUSHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA JELA

Chris BrownUpepo mbaya bado umeendelea kumuandama mwimbaji wa kibao cha Loyal ‘Chris Brown’ ambaye kwa hivi sasa anasotea nyuma ya nondo za jela baada ya upande wa utetezi kubainisha ya kwamba huenda staa huyo akasherekea siku yake ya kuzaliwa akiwa ndani.

Hiyo inakuja kufuatia  jaji Brandlin kutupilia mbali ombi la kupewa dhamana kwa mwanamuziki huyo na kuamuru aendelea kukaa ndani walau kwa wiki moja zaidi mpaka pale tamko  juu ya kesi yake dhidi ya Rihanna litakapokubaliwa baina ya   mwendesha mashitaka na wakili wa nyota huyo ‘Mark Geragos’ kabla ya muda wa kusikilizwa kwa kesi hiyo uliopangwa kufanyika  Mei 09 mwaka huu.

Halikadhalika mwimbaji huyo anaweza akakumbana na adhabu ya kifungo cha miezi sita au zaidi jela endapo  atakutwa na hatia ya kesi iliyokuwa inamkabili mwaka jana ya kumshambulia mtu mmoja nje ya hotel ya W iliyopo jijini Washington Dc marekani.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s