VIDEO : T.I NA THE GAME WAZOZANA NA MAPOLISI, BAADA YA WAPAMBE WAO KUPASULIWA

The Game & T.I

The Game na T.I

Rapa anayetokea Compton  Marekani ‘The Gam’e pamoja na mwanamuziki mwenzake wa HipHop anayewakilisha jiji la Atlanta ‘T.I’ walijikuta wakiingia katika mzozo na askari polisi kufuatia washikaji zao kuchezea kichapo cha mbwa mwizi toka kwa  mabaunsa wa klabu moja ya usiku inayoitwa SuperbClub.

Ishu hiyo ilitokea baada ya kundi moja  la watu waliodaiwa kufahamiana na mastaa hao kukataliwa katakata kuingia ndani ya ukumbi huo wa starehe,  hali iliyopelekea kuwepo kwa majibizano na  kumfanya mmoja wa wanakundi hao kumrushia konde zito baunsa aliyekuwa akiwazuia  kujikuta wakitapakaa damu baada ya mabaunsa hao kuwageuzia kibao na kupelekea polisi waliokuwa zamu kuingilia kati.

Baada ya Mapolisi wa kitengo cha Los Angels Police Department LAPD kuwasili eneo la tukio ndio  walikutana  uso kwa uso na T.I aliyekuwa sambamba na The game pamoja na wapambe wao, huku marapa hao wakiwalalamikia  polisi hao kuhusika kwa namna moja au nyingine katika ugomvi huo, jambo ambalo halikuwa na ukweli wowote.

Tazama Video hapo chini ya tukio hilo

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s