PICHA ZA UZINDUZI WA VIDEO MPYA YA WEUSI ‘GERE’ ULIOFANYIKA MEDITTERANEO HOTEL

Weusi

Joh Makini, Nikki Wa Pili na Gnako WaraWara kwa steji

Usiku wa jana kundi la Weusi linaloundwa na  vichwa vitatu Joh makini, Nikki wa pili na Gnako WaraWara walizindua video  mpya ya wimbo wao wa Gere katika hoteli ya Meditteraneo iliyopo eneo la Kawe, jijini Dar es salaam.

Mbali na Uzinduzi huo, kulikuwa pia na   Red Carpet ambapo wageni waliopata mualiko huo maalaakiwemo   wadau mbalimbali wa muziki nchini wakiwemo  wanamuzikii, watangazaji, maDJ na washikaji wa karibu waliweza kushow love pamoja na kutokelezea kwenye zulia jekundu.

Weusi Mediterania Weusi wakiimba Gere

Weusi Stage1Jukwaa lililotumika kwenye uzinduzi huo

DSC_0646

  Video ya Gere ikionyeshwa kwa mara ya kwanza

DSC_0697

Mambo ya dijitali AKA Smartphone yalipochukua nafasi yake

DSC_0717

Joh Makini akiwaimbisha Gere wadau

DSC_0732

Mmiliki wa Duka la Models Collection ‘Gee Mode’l katika Pozi

DSC_0692 DSC_0706 DSC_0742Wadau wakipata Ukodaki, (Wa kwanza Kushoto)  ni mdogo wa mwanamuziki Vannesa Mdee.

DSC_0778Memba wa kundi la Navy Kenzo ambaye ni  Producer ‘NahReal’ akihojiwa na mtangazaji wa kituo cha Tv1 Tanzania

DSC_0782 DSC_0799  Nikki wa Pili, Gnako WaraWara na mdau kwa Red Carpet

DSC_0577Aika na Vee Money

DSC_0535Watangazaji wa Clouds Fm na Tv, Adam Mchomvu na Shadee

DSC_0544 DSC_0561Vee Money

DSC_0569  Mtangazaji wa kipindi cha XXL – Clouds fm Hamis  Mandi ‘Dozen’DSC_0589 DSC_0613

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s