#SayNoToRacism : MASTAA WA BONGO NA AFRIKA WAMUUNGA MKONO DANI ALVES ALIYERUSHIWA NDIZI NA SHABIKI.

SayNoToRacism Katika kuonyesha umoja, mshikamano na kupinga vita suala zima la ubaguzi wa rangi, mastaa mbalimbali Duniani wamejitokeza na kupiga picha wakila ndizi ikiwa ni ishara ya kumuunga mkono beki anayechezea klabu ya Barcelona Dani Alves aliyerushiwa ndizi na shabiki wa Villareal na kisha kuamua kuila.

Licha ya shabiki huyo kuchukuliwa hatua kali ya kutoruhusiwa kuhudhuria mechi za nyumbani za Villareal kipindi chote cha maisha yake, kampeni bado zimeendelea   huku baadhi mastaa wakubwa kutoka Afrika kama vile Straika wa Cameroon ‘Samuel Etoo’, Rapa wa Nigeria Davido, mchezaji wa Manchester City Yaya Toure waliweza kutupia picha wakila ndizi kwenye akaunti zao za Twitter na Instagram.

Halikadhalika maceleb wa Bongo nao hawakuwa nyuma wakiongozwa na  mbunge wa Kaskazini  kupitia tiketi ya Chadema Mh. Zitto Kabwe, mtangazaji wa kipindi cha Mkasi Salama Jabir, producer Marcochali, Godzilla pamoja na D-Knob waliweza kupiga picha wakila ndizi na kisha kuziposti mtandaoni. Ebu zitazame hapo chini

ZittoMbunge wa Kigoma Kaskazini Mh.zitto Kabwe

Sorry I forgot to ask you Anybody want to be a monkey like me”Sorry I forgot to ask you Anybody want to be a monkey like me” aliandika Straika wa Chelsea na Timu ya Taifa ya Cameroon Samuel Eto’o  na kisha kuposti picha hiyo hapo juu akila ndizi

Davido

 

Rapa wa Nigeria Davido na mshikaji wake

 

Yaya ToureMchezaji wa Manchester City Yaya Toure

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s