BONDIA TAJIRI ‘FLOYD MAYWHEATHER’ AMSHUTUMU ZILIPENDWA WAKE KWA MAUAJI

Maywheather & miss Jackson1Bondia Tajiri na asiyekuwa na Rekodi ya kupigwa hata pambano moja, Floyd ‘Money’ MayWheather amemjia juu mpenzi wake wa zamani ‘Miss Jackson’ akieleza sababu kubwa iliyochangia kuvunjika kwa penzi lao ni kufuatia kitendo cha zilipendwa huyo  kuchoropoa  mimba ya watoto mapacha aliyokuwa amembebesha.

Hata hivyo wadau wanaofuatilia sakata la wawili hao wamedai kwamba huenda ukawa ni wivu unaomsumbua  Maywheather  kutokana na mpenzi wake huyo wa zamani kudaiwa kutoka kimapenzi na hitmaker wa Dillema Nelly.

“She got a abortion and I’m totally against killing babies.”  .  aliandika bondia huyo kwenye ukurasa wake wa Instagram wenye wafuasi zaidi ya milioni mbili.

Hata hivyo maneno hayo hayakuonekana kumtingisha kabisa Miss jackson ambapo aliandika caption iliyosomeka Look up MO say cheese… Lol You encourage me to smile and laugh through all my BS. Thank You. #Realfriend P.S You are truly a comedian. LMAO… !!!”   na kisha kuambatanisha  picha akiwa amekumbatiwa na Nelly kama inavyoonekana hapo chini  kwenye akaunti yake rasmi ya Instagram.

NellyMiss Jackson na BF wake mupya ‘Nelly’

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s