BEN POL ACHEZEWA NGOMA ZAKE NA DJ C-FINEST ALIYEWAHI KUFANYA KAZI NA WASANII KIBAO WAKUBWA

Ben_IamBenPolKadri siku zinavyozidi kwenda ndio muziki wa Tanzania unavyozidi  kupiga hatua, hiyo ni kutokana na jitihada na kazi nzuri zinazofanywa na wasanii  wa hapa nyumbani sambamba na sapoti wanayopata kutoka kwa mashabiki wao waishio sehemu mbalimbali Duniani.

Hitmaker wa Jikubali Ben Pol ambaye kwa sasa anavuta hewa ya mji mkuu wa Ujerumani Munchen alipoenda kwa ajili ya kuwapa burudani watanzania na wapenzi wa burudani waishio huko, amesema kwamba amepata nafasi ya kuchezewa ngoma zake na DJ C-Finest katika shoo yake aliyofanya jana usiku iliyofanyika jijini Munich.

DJ C-Finest wa Push it Entertainment  ni miongoni mwa maDj wakubwa nchini humo aliyewahi kufanya kazi ya U-DJ na wasanii wa kimataifa kama vile Omarion, J-Holiday, Lloyd Banks, Game na wengine kibao.

”DJ C-Finest ambaye ameshafanya U-DJ kwa watu kama Omarion, J-Holiday, Llyod banks, The Game etc; ndiye alini-DJ show yangu last night in Munich” aliandika Ben pol kwenye ukurasa wake wa Twitter

Ben PolBen Pol na Dj C-Finest

Ben PolBen Pol alipowasili nchini Ujerumani.  Ben_PolBen Pol akiwa katika mitaa ya jiji  la Munich nchini Ujerumani.

Ben Pol Germany

 Ben Pol  alipata nafasi pia ya kutembelea  makao makuu ya kampuni inayotengeneza magari aina ya Benz iliyopo nchini Ujerumani kama anavyooneka katika picha akiwa ameegemea tolea jipya la magari hayo.

Ben_PolMi si Ambassador wa Mercedez Benz, I’m just showing my Appreciation to ’em #Wanauza#They’re Big aliandika Ben Pol kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuweka picha hiyo hapo juu.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s