PICHA : PETER OKOYE WA PSQUARE ANUNUA MKOKO MPYA AINA YA 2014 BENTLEY GT

Peter & LolaMemba wa kundi la Psquare, Peter Okoye ameamua kuvunja kibubu na kuTaste The Money kwa kununua mkoko mpya  aina ya Bentley GT toleo la mwaka 2014 huku akitaja kuteketeza kiasi cha Naira milioni 30 katika ununuzi wa ndinga hilo ukiwa ni sawa na yale wanayotumia marapa wakubwa waishio nchini Marekani.

 ”Ma new BABY….I’m sure @Lolaomotayo2011 wuld be jelous of her. #BentleyGT2014 #Bentleyatlanta” aliandika Peter kwenye ukurasa wake wa Instagram na kisha kuposti picha za ndinga hilo

Aliongezea ”MY TESTIMONY! @papiijameh stop hating. U 2 will soon Taste The Money.  Lol #Bentley2014

 

Peter Okoye Bentley 2014 Peter Okoye Bentley

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s