DIDIER KAVUMBANGU ASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA NA AZAM FC

Azam Fc Didier kavumbangu

Mabingwa wapya wa ligi kuu Tanzania bara, Timu ya Azam Fc   hii leo imekamilisha taratibu za kumsajili aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga Didier Kavumbangu anayetarajiwa kurudi hivi karibu kwa ajili ya kujiunga rasmi na wanalambalamba hao.

Kwa mujibu wa meneja wa azam Fc ‘Jemadari Saidi’ amethibitisha kwamba mchezaji huyo amesaini mkataba wa mwaka mmoja kwa kuwa walikuwa wakimuhitaji kwa udi na uvumba wakiamini  ni mchezaji mzoefu na mwenye uwezo wa kuwasaidia katika michuano ya kimataifa.

”Kwa asilimia mia moja Kavumbangu tumemsajili, tumefanya nae makubaliano na kuafikiana kumsajili kwa mwaka mmoja ikiwa ni katika kutekeleza mahitaji ya timu kwa sasa, ili kufikia malengo ambayo tumejiwekea katika mashindano makubwa” Alisema Jemedari.

Kavumbangu_Did1Kavumbangu akisaini mkataba baina yake na Azam Fc.

Kavumbanguakiweka dole gumba bila ya kupepesa

Kavumbangu_DidierKavumbangu akiwa ametinga jezi ya wanalambalamba Azam Fc baada ya kusajili mkataba wa mwaka wa kukitumikia kikosi hicho.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s