BOKKO HARAM YAWATOROSHA WANAFUNZI MATEKA WA KIKE 200, WALAZIMISHWA KUOLEWA

Bokko HaramWasichana wapatao 200 waliotekwa na wanamgambo   wa kikundi cha Bokko Haramu, walikuwa wameonekana na mashuhuda wakiwa kwenye mabasi wakipelekwa mahali kusipojulikana.

Kiongozi mmoja wa maeneo ya mpakani amesema kumekuwa na dalili za watu wenye silaha kuvuka mpaka na wasichana hao kuingia nchi jirani na baadhi ya wasichana wamelazimishwa kuolewa na watekaji hao ambao ni wapiganaji wa kikundi cha Bokko Haramu.

Hao ni miongoni mwa wasichana wapatao 230 waliotekwa kwenye shule yao katika mji wa Chibok Aprili 16 mwezi huu ambapo wasichana wengine 43 walifanikiwa kutoroka .

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s