GOODLYF WANG’ARA TUZO ZA ZZINA, WANYAKUA TUZO TANO

ZZINA

Kundi la Goodlyf linaloundwa na Weasle na Radio liliweza kuonyesha ukomavu wake katika sanaa ya muziki nchini Uganda baada ya kutwaa tuzo tano kwa katika sherehe za utoaji wa Tuzo za Zzina zilizofanyika jana usiku kwenye ukumbi wa Theatre La Bonita jijini kampala nchini Uganda.

Wakali hao wanaotamba na ngoma ya Ammaso waling’ara katika Tuzo hizo kupitia vipengele walivyokuwa wakishindania ikiwemo cha nyimbo bora ya kushirikiana, kundi bora la mwaka, nyimbo bora inayopendwa na nyimbo bora ya mwaka kupitia ngoma yao ya Amaaso.

Wasanii wengine waliobahatika kurudi na Tuzo hizo majumbani kwao ni pamoja na Dr.Jose Chameleone aliyepata Tuzo 3  ikiwemo ya mwanamuziki bora wa kiume, tamasha bora la Badilisha na ya mwanamuziki anayekimbiza kwa kutupia wakati  Bebe Cool akiambulia  Tuzo moja  ya mtumbuizaji bora.

Kwa mujibu wa waandaji wa Tuzo hizo, Innocent Nahabwe ambaye ni mkurugenzi mtendaji wa kituo cha utangazaji cha Galaxy Fm alisema Tuzo hizo zililenga kuwatambua wasanii wa fani ya muziki na uchekeshaji waliofanya vizuri kwa mwaka 2013 /14  kwa kupigiwa kura na mashabiki kwa njia ya simu na kwenye ukurasa wao wa Facebook wenye wafuasi zaidi ya Laki moja.

Jose ChameleoneBebe CoolBebeCool

GravityGravity na Tuzo yake.Irene Ntale

Muimbaji Irene Ntale akifanya yake kwa jukwaaKhalifa

Ziza Bafana

Mwanamuziki Ziza Bafana katika pozi na Tuzo yake

Tazama orodha ya washindi wa tuzo hizo  yakiwemo majina  na vipengele  walivyokuwa wakiwania

Best collabo:

*Amaaso- Goodlyfe and Pallaso

Best concert-:

Badilisha- Jose Chameleone

Best events organizer:

Balaam Barugahare

Best overseas collabo:

*Amaaso- Goodlyfe and Pallaso

Best music group:

*Goodlyfe

Best producer:

Nash wonder

Most fashionable artiste:

Jose Chameleone

Best Luga flo artiste:

Gravity Omutujju

Best Comedian:

Afande Kelekele

Best stage performer:

Bebe Cool

Best dancer:

Tip Swizy

Best upcoming artiste:

Khalifa Aganaga

Best Dancehall song:

Gyayo Nteekeyo – Ziza Bafana

Best Love song:

*Hellena- Goodlyfe

Lost and forgotten artiste:

Maddox Ssematimba

Best Lyrics writer:

Nince Henry

Best inspirational song:

This year by Dr. Hilderman

Best Female artiste :

Rema Namakula

Hit song of the year:

*Amaaso by Good life and Pallaso

Best male artiste :

Jose Chameleone

The Hit Song Of The Year – AMAASO – GOODLIFE The Best Male Artiste -CHAMELEONE The Best Female Artiste – REMA The Best Luga-Flow Artiste -GRAVITY OMUTUJJU The Best Dancehall Song -GYAYO NTEKEYO – ZIZA BAFANA The Best Lov…Read More at http://www.bigeye.ug/zzina-awards-impressive-start/ © Bigeye.ug

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s