SUAREZ ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA WA ENGLAND

Liverpool's Luis Suarez, right, with the player of the year award and Eden Hazard

Suarez na Hazard katika picha ya pamoja baada ya kupokea Tuzo zao

Mshambuliaji wa klabu ya Liverpool  ‘Luis Suarez’ ameteuliwa kuwa mchezaji wa mwaka wa chama cha wachezaji wa soka la kulipwa katika hafla iliyofanyika jana jijini London.

Suarez alinyakuwa tuzo hiyo iliyotolewa na  chama cha wachezaji soka wanaolipwa kijulikanancho kama Professional Footballers Association ‘PFA’  baada ya timu anayochezea kufanya vizuri katika msimu huu hapa akiwa amewabwaga wachezaji wenzake  Steven Gerrard pamoja na Daniel Sturridge.

Akiwa ametupia wavuni  magoli 30 katika ligi kuu ya England sambamba na hat -Trik mbili. Naye mchezaji kinda wa Chelsea ‘Edzen Hazard’ ameteuliwa kuwa mchezaji mdogo zaidi wa mwaka katika ligi kuu ya England.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s