PSQUARE WAMALIZA BIFU LAO, WALA BATA TENA PAMOJA

Psquare_

Paul, Jude na Peter Okoye

Waswahili wanasema wagombanao ndio wapatanao na isitoshe damu nzito kuliko maji hiyo ni kutokana mapacha wawili   Peter na Paul Okoye wanaounda kundi la Psquare pamoja na kaka yao Jude kumaliza tofauti zao baada kuripotiwa kuwepo kwa mgogoro wa masuala ya kifamilia uliokuwa ukimuhusisha mke wa Peter ‘Lola Omotoya’ kudaiwa kutopikia chungu kimoja na familia ya Okoye.

Baada ya misukosuko hiyo, wanafamilia hao watatu wakiongozwa na meneja ambaye ni kaka yao, waliandika ujumbe mfupi kupitia akaunti zao rasmi za mtandao wa Twitter na kuweka wazi kuwa kila kitu kimekaa poa baina yao sambamba na kula bata  pamoja kwenye  sherehe ya kuzaliwa ya mwanamitindo Sarah Ofili iliyofanyika Ijumaa iliyopita.

Psquare.

Peter na Paul wakiwa katika picha na mwanamitindo daraja la kwanza Sarah Ofili

Psquare 1

Jude na Sarah Ofili

 

Psquare tweets

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s