MGUNDUZI WA LAMBORGHINI NA JUAN MATA WAZALIWA LEO

'Ferruccio Lamborghini'

Ferruccio Lamborghini

Kama umezaliwa Tarehe na Mwezi kama wa leo, bila shaka utakuwa umezaliwa pamoja na mgunduzi wa kwanza wa magari ya kifahari aina ya Lamborghini muitaliano ‘Ferruccio Lamborghini’  aliyezaliwa  Aprili 28 mwaka 1916 katika kitongoni cha Renazo, di Cento, Ferrara, Emilia-Romagna, Italy na kufariki mwaka 1993 February 20.

Lamborghini alisomeshwa na wazazi wake waliokuwa wakulima wa zabibu na kufanikiwa kupata elimu iliyomuwezesha kuwa mtaalam wa masuala ya viwanda na kisha kufungua kiwanda cha  kutengeneza matreka mnamo mwaka 1948 ambapo kwa mara ya kwanza Trekta aina ya Lamborghini lilitengenezwa na kuweza kutumika kama zana muhimu ya kilimo kipindi hicho.

Juan-Mata-Manchester-United-shirt_3073404

Nyota mwingine ni mshambuliaji wa Manchester United mwenye kasi ya ajabu Juan Manuel Mata  Garcia au kwa kuokoa muda unaweza ukamuita Juan Mata aliyezaliwa Tarehe na mwezi kama wa leo huko Ocon De Villafranca, Burgos Spain.

Vilabu alivyowahi kuchezea ni pamoja na Real Madrid, Valencia, Chelsea na Manchester United ikiwa na kuichezea Timu yake ya Taifa ya hispania.

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s