KIVAZI CHAKUBANA NUSURA KIMFUKUZISHE KAZI ASKARI HUYU

Mhh!Askari mmoja wa kike Raia wa Kenya ‘Linda Okello’ amenusurika kupoteza kibarua chake  kufuatia kivazi cha kubana alichokuwa amevaa wakati yupo kwenye majukumu ya kikazi kumchora sehemu kubwa ya maungo yake ikiwemo makalio kitendo kilichopelekea picha yake kusambaa kwa kasi kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwemo  Facebook na Twitter.

Baada ya Taarifa pamoja na picha kuwafikia wakuu wake wa kazi, aliweza kuitwa na kamanda wa polisi wa kanda hiyo  ‘James Mugeria’  na kupewa onyo kali juu ya mavazi yake ambayo yalionekana kuonyesha kielelezo kibaya katika  jamii.

Hata hivyo Afisa huyo wa Forodha aliachiwa na kuendelea na majukumu yake kama kawaida baada ya kupewa agizo la kubadili mfumo mzima  wa mavazi yake pindi awapo kazini.  Picha ya afisa huyo wa forodha ilipigwa mwishoni mwa wiki wakati alipokuwa kwenye majukumu ya kikazi na mwenzake  eneo la Kiambu nchini Kenya.

Afisa wa Forodha

 

 

 

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s