PICHA : WASANII WA MUZIKI TANZANIA WAADHIMISHA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR KWA STAILI YA AINA YAKE.

 Muungano1

 

Wasanii wa Muziki Tanzania wapatao hamsini hapo jana walihudhuria sherehe za miaka 50 ya muungano wa Tanganyika na zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam sambamba na kutoa burudani ya kipekee kwa kuimba wimbo walioshirikiana ambao unahamasisha kudumisha muungano.

 

Mbali na burudani hiyo, sherehe hizo zilihudhuriwa na Marais wa nchi jirani, mabalozi  pamoja na viongozi wa nyadhifa za juu kabisa kutola mataifa mengine huku mwenyeji wa shughuli hiyo akiwa ni Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein na kuweza kutazama burudani mbalimbali zilizotolewa uwanja hapo ikiwemo vikosi vya kijeshi waliopata nafasi yakuonyesha ukakamavu wao na zana watumiazo kwenye vita ikiwemo vifaru, ndege na mabomu. Muungano2 Muungano3 Muungano4 Muungano5 Muungano6 Muungano7 Muungano8 Muungano9 Muungano10

Muungano11 Muungano12 Muungano13 Muungano14 Muungano15 Muungano16 Muungano17 Muungano18 Muungano19 Muungano20Muungano21 Muungano22 Muungano23 Muungano24 Muungano25 Muungano26 Muungano27 Muungano28 Diamond Muungano29 Muungano30

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s