DON JAZZY AMZAWADIA MKOKO WA NGUVU TIWA SAVAGE KWENYE HARUSI YAKE

tiwa_savage-teebillz_dancing

Mwanamuziki Tiwa savage wa Nigeria na mume wake Tee Billz walifanya sherehe ya ndoa yao  jijini Dubai iliyohudhuriwa na idadi kubwa ya watu mashuhuri wakiwemo ndugu, jamaa na marafiki  kutoka sehemu tofauti, huku mwanamitindo daraja la kwanza kutoka Tanzania asiyekuwa na chembe ya skendo ‘Millen Magese’ akiwa miongoni mwa wageni waalikwa.

kwa mujibu wa mtandao mmoja wa Nigeria unaoandika habari za mastaa ulisema ya kwamba Sherehe hiyo ilifanyika kwenye hoteli ya kifahari ya nyota tano ‘Armani’ . Baadhi ya mastaa nyota wa nigeria waliopata nafasi ya kuhudhuria ni pamoja na Bank W aliyekuwa best man wa bwana harusi, Don Jazzy, Lola Omotayo-Okoye, Toke makinwa, Dr Sid, Tolu Oniru, Eku Edewor, Seyi Shay, Tania Omotayo na wengine wengi ambapo inataarifiwa kuwa wageni waalikwa waliweza kupewa simu aina ya iphone5s Gold plated ikiwa kama zawadi ya shukrani kutoka kwa wanandao hao.

Mmiliki na mwanzilishi wa studio ya Mavin yenye makazi yake Lagos, Nigeria Michael Collins Ajereh AKA Don Jazzy alinogesha sherehe hiyo baada ya kuwazawadia maharusi gari mpya aina ya SUV  Toyota Prado, hali iliyopelekea ukumbi kulipuka kwa shangwe. Nisikuchoshe sana…Tazama Picha hapo chini uone ilivyokuwa.

Don JazzyDon Jazzy akiwakabidhi mkoko maharusi Tiwa savage na Tee Billz

Tiwa Savage & Tunji Tee Billz9

Tee Billz

Tiwa Savage & Tunji Tee Billz7

Tiwa Savage

so_drunk_in_love Millen MagesePichani ni Mwanamitindo aliyewahi kutwaa Taji la Miss Tanzania 2001 Millen Magese katika pozi na Don Jazzy.

tiwa-savage-dubai-wedding_reception6

Dj Exclusive na Rapa Banky W

Tiwa-TJ-dubai-wedding-xclusive_toolz

Tiwa Savage & Tunji Tee Billz3

 Katika picha ni simu aina ya iphones 5s Gold plated zilizotolewa kama zawadi

tiwa-savage-bouquet-toss tiwa_teebillz_reception Tiwa-Savage_Father-dubai-wedding-dance Tiwa Savage & Tunji Tee Billz14 Tiwa wedding tiwa_savage_tee_billz_wedding_cake tiwa_savage-teebillz_turnt_up tiwa_savage-teebillz_dancing Tiwa Savage & Tunji Tee Billz13  Tiwa Savage & Tunji Tee Billz8  Tiwa Savage & Tunji Tee Billz10 Tiwa Savage & Tunji Tee Billz11 Tiwa Savage & Tunji Tee Billz12 Tiwa Savage & Tunji Tee Billz6 Tiwa Savage & Tunji Tee Billz5 suspended-hanging-wedding-cake-tiwa-savage-wedding-dubai so_drunk_in_love

Ladivamillen mavin_selfie1 Millen & Nigerian acrot   Couples_1st_Dance

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s