LIVERPOOL YAVUTWA JEZI NA CHELSEA, YACHAPWA 2 – 0, CITY WAIKANDAMIZA 0 – 2 PALACE

Luverpool Majogoo wa jiji la London, klabu ya Liverpool jana ilivutwa jezi na kasi ya kuelekea kwenye ubingwa wa ligi kuu ya England baada ya kupokea kipondo cha mabao mawili kwa nunge kutoka kwa vijana wa Darajani Chelsea.

Mtanange huo ulipigwa kwenye uwanja wa nyumbani wa Liverpool Anfield huku mashabiki wa timu hiyo wakibaki vinywa. Magoli ya Chelsea yalifungwa na mshambuliaji hatari  Demba Ba mnamo dakika ya 45′ pamoja na Willian dakika ya 90′.

Liver Vs ChelseaKwa matokeo hayo yanaifanya Chelsea iwe nyuma kwa tofauti ya pointi 2 dhidi ya Liverpool iliyopo kileleni kwa kuwa na pointi 80 huku  zikiwa imebakisha michezo miwili kuweza kumaliza ligi hiyo.

The BluesWachezaji wa Manchester City wakijipongeza kwa ushindi dhidi ya Palace 

Mchezo mwingine uliochezwa hapo jana ulikuwa ni wa Manchester City iliyoifunga goli 0 – 2 Crystal palace dimbani kwao. Magoli yaliyofungwa na Edin Dzeko na Yaya Toure yaliiwezesha City kuibuka kifua mbele katika mtanange huo.

Unaweza ukatazama video za magoli hapo chini

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s