PICHA : DIAMOND NA WEMA KAMA MAPACHA VILE.

Diamond na wema

Diamond Platnumz na wema Sepetu wameongeza idadi nyingine ya picha mpya kwenye akaunti zao za instagram, hiyo ni baada ya kumalizika kwa zoezi lao la upigaji picha chini ya mpiga picha mashuhuri na anayefanya vizuri katika gemu ‘Albert Manifester’ wa manifester Brand ambaye hapo awali aliwahi kufanya kazi na kampuni ya iView. Watazame uone jinsi walivyotokelezea kama mapacha wa tumbo moja. #Nishidah

 

 

 

 

Dia & wema1Diamond, wema & Albert

 

Diamond, Wema na Albert

 

Diamond Platnumz

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s